Edo,mmh nithani hilo swala la kutafuta nchumba ni nyet
na angefany mwenyewe, 1. kwanini kakushirikisha?
2. Hujamchakachua bado?
3. Mlikuwa mazingira gani hadi mkapeana info private hivyo?
ukijibu haya ntatuma email fasta because i qualify!!
Edo,
Ondoa shaka kabisa. Najua suala la mchumba ni nyeti ndio sababu kanishirikisha mie ndugu yake na si wengine. Yeye si mwana JF, hana access ya kupost chochote, ndio sababu muda ninaandika hiyo post nilikuwa naye. Ni ndugu yangu wa damu, hayo mengine hayahusiki. Kama upo serious mtumie email
Anataka wanaotumia mtandao wa JFIvi uyo muombaj kwa nin asitafute hata uko mtaan ,kanisan,kazin.aje uku mmmh hapa kuna walakin kabisaaa !