Binti anapoolewa, kwanini familia hufurahi?

Binti anapoolewa, kwanini familia hufurahi?

..wanafurahi coz wanaepukana na mabinti kudodea nyumbani..!

hawajui kwamba binti yao anaenda kuzamishiwa mzizi,regardless kwamba atauweza au vipi lazima auvumilie mpaka kijeba kitosheke.hilo hawamuonei huruma
 
Hebu uliza kwanza familia yako au jamii inayokuzunguka ukikosa jibu nitakupa msaada mwingine wa mawazo
 
Hebu uliza kwanza familia yako au jamii inayokuzunguka ukikosa jibu nitakupa msaada mwingine wa mawazo

nimekosa jibu,nijibu wewe,kwa nini wazee watafurahi angali wanajua jamaa mwenye kilo 80 anaenda kulala juu yako wewe mwenye kilo 60, nilitegemea wahuzunike.
 
Siku ya harusi wazazi wanafurahi kwasababu binti amewapa heshima,anaenda kugegedwa kwa heshima zote,ndo maana hata kwenye nasaha wanasema asante mwanetu kwa kutuheshimu
 
Siku ya harusi wazazi wanafurahi kwasababu binti amewapa heshima,anaenda kugegedwa kwa heshima zote,ndo maana hata kwenye nasaha wanasema asante mwanetu kwa kutuheshimu

hawamuonei huruma anapokwenda kugegedwa?
 
Viol mkuu umemaliza.

Sina cha kuchangia
 
Last edited by a moderator:
Imekuwa ni kawaida wazee kuchukia watoto wao wa kike kugegedwa, lakini siku binti anaolewa wazazi huruka ruka na kusherehekea lakini kwa uhalisia ni kwamba binti yule anaenda kuanza maisha ya kugegedwa mfululizo, na wanapotoka kwenda honeymoon wazazi na makaka hufurahi na kujitapa kwa dada yetu kaenda honeymoon hoteli fulani au mkoa fulani ambapo kiuhalisia anaenda kugegedwa usiku na mchana tena pengine anafanyiwa hard kugegedwa(ile kugegeda kama vile ni vita).

Sasa najiuliza mbona hapo wanafurahia lakin kabla ya hapo wanakuwa wakimuonea choyo na kuita tendo la kugegedwa kama tabia mbaya na kumfungia ndani?

Angali kitendo ni kilekile,hata akiwa akiolewa anaweza achika na hata akiwa home akigegedwa bado anayemgegeda anaweza kuwa akimpa matunzo?

Nilitegemea hata siku ya harusi wazazi wawe vichwa chini kuhuzunika kuwa binti yao anaenda kugegedwa with no limit, lakini nashangaa wanafurahi kuruka ruka na vigelegele.Hembu nielewesheni wadau maana hii inanitatiza.

Tendo hilohilo likifanyika nje ya ndoa linaitwa uzinzi.
Likifanyika ndani ya ndoa linaitwa tendo la ndoa.
Tendo hilohilo likifanyika bila ridhaa ya muhusika linaitwa ubakaji
Ndio tofauti yake.
 
hawamuonei huruma anapokwenda kugegedwa?

Kugegedwa kwa kibali maalum hata haiwaumi tena na mama na mashangazi wanamfundisha namna nzuri ya kugegedana shida pale ambapo hamna kibali
 
Back
Top Bottom