kyagata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2016
- 8,943
- 16,880
Mimi naishi uswazi, nimepanga geto yenye chumba kimoja tu sasa kuna binti niliwahi kulala nae hapa kwangu akang'atwa balaa na mbu.
So tangu siku hiyo nikimuambia aje tena geto anasema anaogopa mbu wa hapa kwangu, nimemuambia siku ile nilijisahau tu kupiga dawa lakini haelewi somo.
Nifanyaje?
So tangu siku hiyo nikimuambia aje tena geto anasema anaogopa mbu wa hapa kwangu, nimemuambia siku ile nilijisahau tu kupiga dawa lakini haelewi somo.
Nifanyaje?