AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 13,081
- 22,280
Ndani alikua anaenda kufuata connection za Harmonize kwani hujamsikia vizuri?Anyooshe maelezo Tu alikua na upwiru. Kilicho muumiza ni kupigwa mt*ngo
Mtu anasajili laini anaingiaje ndani?
Yh of course connection siku uzi zinalipiwa, angesubiria week moja angepata hiyo connection bureNdani alikua anaenda kufuata connection za Harmonize kwani hujamsikia vizuri?
Sasa ndio ameipata bure kabla ya wiki moja au haujaelewa, watu wanaangalia connection huku wanapiga connection mpya, hujaelewa nini?Yh of course connection siku uzi zinalipiwa, angesubiria week moja angepata hiyo connection bure
Punguzeni kupenda connection za video za ngono, mwisho ndio yanakua hayo ona sasa unamlaumu nani hapo?Kwa Arusha naweza kuamini sababu vijana wamekua wa hovyo sana mkoani hapa
Kwakeli, mana huwez kuwa na akili timamu then ukabaka, hat hakuna raha yoyote hapoItakuwa walikula mpepe
Hv kwa upuuzi kama huu, mm nikisema bora nyeto nitakuwa nakosea?ukishamwaga ndo akili inarudi
wangewahi polisi kama kweka 😀
Kwenye kununua wewe dau lako la chini kabisa yaan hapo hata apande vipi haupandi ni kiasi gani?Bora ununue tuu
Makebo kachezea umeme?Naona matako aka makebo amekupumzishwa kwa amani 🤣