Rockefeller
JF-Expert Member
- Nov 21, 2016
- 1,209
- 2,263
Katika mihangaiko yangu nishawai fanya kazi developers sio independent tu hata firm kubwa tu za India, UK hadi USA wao kabla hamjaanza kazi wanakutajia sample project zao na wanakupa hadi root access za system zao uangalie wanakwambia uite hata IT consultant wako akague! Nakushangaa wewe unaetaka ulipwe😅. Mfano mdogo ni hizi FREE TRIALSasa unataka cv au kazi?
Mimi kama hujasaini NDA hupati details kwangu. Anyway hapa nilikuwa namzingua jamaa na kuchangamsha uzi wake. Mimi ni mtaalamu wa computer networkingKatika mihangaiko yangu nishawai fanya kazi developers sio independent tu hata firm kubwa tu za India, UK hadi USA wao kabla hamjaanza kazi wanakutajia sample project zao na wanakupa hadi root access za system zao uangalie wanakwambia uite hata IT consultant wako akague! Nakushangaa wewe unaetaka ulipwe😅. Mfano mdogo ni hizi FREE TRIAL
Haya saidia, hao mabingwa wapo?Mimi kama hujasaini NDA hupati details kwangu. Anyway hapa nilikuwa namzingua jamaa na kuchangamsha uzi wake. Mimi ni mtaalamu wa computer networking
HahahaMimi kama hujasaini NDA hupati details kwangu. Anyway hapa nilikuwa namzingua jamaa na kuchangamsha uzi wake. Mimi ni mtaalamu wa computer networking
Weka kazi mkuuHuyu jamaa huwa anafanya vitu ambavyo hata yeye mwenywe havielewi
Bro naomba nipe nikuchek inbox juu ya hilo wazoIla Developers wabongo kuna mahala wanakwama.......
Field kibao naliona Gap lao ( kama huku Kwenye Survey & Engineering ) wana nafasi kubwa sana.....
Toeni hata Copy za Autocad addins basi wakuu, kama Autocad ni gharama ( hapa mtaeleweka)
Addins kibao tunanua kwa bei kubwa ila najua wabongo mnaweza tengeneza.
Kama hampati mawazo mnitafute mie niwape basi.
Hamna hata namba ya simu, uko serious kweli?Habari wakuu?
Nahitaji mtu anayeweza kutengeneza software ya 'animation', yaani ya kutengeneza 'video' za katuni.
Hiyo 'programme' iwe na angalau sifa hizi:-
Iwe ni rahisi kutumia Iweze kutumia lugha mbili kiingereza/kiswahili Iweze kutengeneza 'character' wa aina yoyote 'Back ground' iwe inabadilishika, iendane na mtumiaji Isiwe na mavitu mengi ya kuchanganya Pia, uwe tayari kutoa mafunzo kwa watumiajiKwa wale watundu wa mambo ya 'software' kazi kwenu; dau langu ni milioni mbili, iko mfuko wa shati.
Tupige kazi.
Nipo serious mkuuHamna hata namba ya simu, uko serious kweli?
Chukua software za wazungu..usipende vitu simpleHabari wakuu?
Nahitaji mtu anayeweza kutengeneza software ya 'animation', yaani ya kutengeneza 'video' za katuni.
Hiyo 'programme' iwe na angalau sifa hizi:-
Iwe ni rahisi kutumia Iweze kutumia lugha mbili kiingereza/kiswahili Iweze kutengeneza 'character' wa aina yoyote 'Back ground' iwe inabadilishika, iendane na mtumiaji Isiwe na mavitu mengi ya kuchanganya Pia, uwe tayari kutoa mafunzo kwa watumiajiKwa wale watundu wa mambo ya 'software' kazi kwenu; dau langu ni milioni mbili, iko mfuko wa shati.
Tupige kazi.
Za wazungu ngumu, zina mambo mengiChukua software za wazungu..usipende vitu simple
sawa tu kaka haina shidaBro naomba nipe nikuchek inbox juu ya hilo wazo
Samahani mnaoongea hapa mmesoma kozi inaitwaje nimpeleke mwanangu akaosomee huu utaalam?Ila Developers wabongo kuna mahala wanakwama.......
Field kibao naliona Gap lao ( kama huku Kwenye Survey & Engineering ) wana nafasi kubwa sana.....
Toeni hata Copy za Autocad addins basi wakuu, kama Autocad ni gharama ( hapa mtaeleweka)
Addins kibao tunanua kwa bei kubwa ila najua wabongo mnaweza tengeneza.
Kama hampati mawazo mnitafute mie niwape basi.
Tuna maprofesa wa IT na kompyuta pale jalalani, UDOM, DIT nk nk, unataka kusema nao hawawezi?Kuna watu mnachekesha kweli, Hiyo project ya Adobe yenyewe imecost millions of dollars wewe unazungumzia developer wa bongo akutengenezee?? Hizo ni software kubwa mno sio Tanzania tu hata Afrika bado hatuna hao wataalam
Akili za kijinga hizi, Kwa hiyo maprofesa wote waliopo MUHAS ni madaktari bingwa? Na waalimu wote wa Biology ni wahudumu wa afya?Tuna maprofesa wa IT na kompyuta pale jalalani, UDOM, DIT nk nk, unataka kusema nao hawawezi?
Hivi unaweza ukawa profesa/PhD holder wa MD alafu usiwe daktari bingwa? Uko serious kweli?Akili za kijinga hizi, Kwa hiyo maprofesa wote waliopo MUHAS ni madaktari bingwa? Na waalimu wote wa Biology ni wahudumu wa afya?