niggapaul Member Joined Sep 29, 2017 Posts 49 Reaction score 44 Dec 6, 2018 #1 Heshima yenu wakuu! Bila kupoteza muda niingie kwenye mada ni hivi toka nimeanza kugegeda sijawahi kutumia hii mifuko ya wazungu(condom). Hii imetokana na kuzifuatilia namna zinavyotolewa ufafanuzi ya kwamba zinapunguza msisimko. Nawasilisha.
Heshima yenu wakuu! Bila kupoteza muda niingie kwenye mada ni hivi toka nimeanza kugegeda sijawahi kutumia hii mifuko ya wazungu(condom). Hii imetokana na kuzifuatilia namna zinavyotolewa ufafanuzi ya kwamba zinapunguza msisimko. Nawasilisha.
Nokia83 JF-Expert Member Joined Jan 16, 2014 Posts 24,636 Reaction score 44,392 Dec 6, 2018 #2 Hii hadithi yako inatufundisha nn?
feitty JF-Expert Member Joined Jul 10, 2015 Posts 2,595 Reaction score 4,205 Dec 6, 2018 #3 Hukuona mwenzio kapost thread yenye maudhui kama yako? Mods unganisheni huu uzi na ule mwingine.
King Kong III Platinum Member Joined Oct 15, 2010 Posts 64,343 Reaction score 99,040 Dec 6, 2018 #4 niggapaul said: Heshima yenu wakuu! Bila kupoteza muda niingie kwenye mada ni hivi toka nimeanza kugegeda sijawahi kutumia hii mifuko ya wazungu(condom). Hii imetokana na kuzifuatilia namna zinavyotolewa ufafanuzi ya kwamba zinapunguza msisimko. Nawasilisha. Click to expand... Sawa Mzee baba umeeleweka sana.
niggapaul said: Heshima yenu wakuu! Bila kupoteza muda niingie kwenye mada ni hivi toka nimeanza kugegeda sijawahi kutumia hii mifuko ya wazungu(condom). Hii imetokana na kuzifuatilia namna zinavyotolewa ufafanuzi ya kwamba zinapunguza msisimko. Nawasilisha. Click to expand... Sawa Mzee baba umeeleweka sana.
Saguda47 JF-Expert Member Joined May 1, 2016 Posts 11,788 Reaction score 22,133 Dec 6, 2018 #5 wengine mmeathirika mnapotosha wenzenu ili wajitupe vichwa vichwa ili wote mfanane! Ukimwi upo na bado unaua. Nadharia za humu hazitauondoa uwepo wa Vvu/ukimwi
wengine mmeathirika mnapotosha wenzenu ili wajitupe vichwa vichwa ili wote mfanane! Ukimwi upo na bado unaua. Nadharia za humu hazitauondoa uwepo wa Vvu/ukimwi
dronedrake JF-Expert Member Joined Dec 25, 2013 Posts 24,855 Reaction score 61,913 Dec 6, 2018 #6 ukiwa vizuri kuuza mechi, uwe vizuri kupima na kuanza ARV pia
T Tui JF-Expert Member Joined Jun 2, 2018 Posts 5,779 Reaction score 7,771 Dec 6, 2018 #7 Kuna rafiki yangu alikuwa anajitapa hivyo hivyo miaka mingi iliyopita kwamba hawezi kula pipi na maganda. Tulimzika akiwa na kilo 30.
Kuna rafiki yangu alikuwa anajitapa hivyo hivyo miaka mingi iliyopita kwamba hawezi kula pipi na maganda. Tulimzika akiwa na kilo 30.