Mwizi wa mdogo mdogo/mtaani ndo anaitwa kibaka lkn wale wizi wa kubwa wa serekalini wanaitwa mafisadi, haipendezi.
Anko Sam, lengo si kuzoea ukakasi wa maneno haya, ila ni kujuwa wakati/walengwa/mazingira ya kuyatumia maneno hayo. Tukisema tuyatumiye haya yaliyo na ukakasi tu, haya mengine tutayatumia wapi?