kisugujira
JF-Expert Member
- Aug 13, 2012
- 774
- 200
WanaJF,
Mkurugenzi wa kampuni ya Vodacom amesikia kilio cha wateja wake na kuahidi kurudisha vifurushi vyote vilivyonunuliwa siku ya Ijumaa tarehe 16/8/2013 kabla ya matatizo ya mawasiliano mtandaoni kutokea yaliyosababishwa na swichi ya mtandao kuungua!
Source:Star tv