MI elfu sita yangu watarudisha?niliweka elfu 10 wakaniambia uwepewa ofa ya sh elfu kumi na tano voda to voda si nikaanza kutwanga kwa kujiachia nile nasema ngoja nicheki salio nakuta elfu 4000.kuwapigia voda ooh sory tunafuatilia hadi leo sijarudishiwa wala vpi