Binamu Simuelewi

Binamu Simuelewi

Amanito

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2015
Posts
258
Reaction score
554
Wanangenga napata wakati mgumu sana hivi karibuni kwani kuna mtoto mzuri nimekutana nae kwenye harusi nikatambulishwa kuwa ni binamu yangu

Tumebadilishana ma07 na sasa ameanza kuniletea mapicha picha na kutaka kumjua athumani mbaya sijui nimalize au nipotezee maana anakuja kwa kasi kweli
 
si mnasema binamu nyama ya hamu!!!...gonga tu....
 
ACHANA NAE TU KUNA HAJA GANI YA KUMGEGEDA NDUGU YAKO WAKATI MABINTI WENGINE WAKO WENGI TUU?
 
Mega kimtindo ili kulinda heshima ya me,binamu ni watamu sana ila kuwa makini usimpe mimba.
 
Wanangenga napata wakati mgumu sana hivi karibuni kwani kuna mtoto mzuri nimekutana nae kwenye harusi nikatambulishwa kuwa ni binamu yangu

Tumebadilishana ma07 na sasa ameanza kuniletea mapicha picha na kutaka kumjua athumani mbaya sijui nimalize au nipotezee maana anakuja kwa kasi kweli
unaweaza weka picha yake humu na namba zake humu.. Siku zote hakuna mwanamke Mwepesi kutongozeka tena bila kutumia hela kama Mtu uliyetambulishwa kuwa huyu ni mtoto wa ndugu yako yule anayefanya kazi kule ushirombo... au Geita au Nyamihoro.. Yaani unakuja kuuliza ushauri huku Hufai kuwa rijali au utakuwa hujatahiriwa
 
Waongo huwa hawajui hata kuutunga. Kama kakutumia kapicha si uiweke hapa tuione. Pengine picha yenyewe kaiweka kavaa nguo za skuli na alama ya V tiyari unaona anakutafutia kessi kumbe ya kawaida tu jamani.
 
ACHANA NAE TU KUNA HAJA GANI YA KUMGEGEDA NDUGU YAKO WAKATI MABINTI WENGINE WAKO WENGI TUU?
Yaani wanaume wangeweza kufanya Kama ushauri wako unavyosema,kuchepuka kusingekuwepo au kungepungua Sana hapa duniani
 
Acha kujirahisisha mtoto wa kiume.

Huna msimamo wako wa maisha mpaka uzinzi uhitaji kushauriwa?
 
binamu wa kiasi gani?
yaani u ndugu wenu uko karibu kiasi gani?
 
Back
Top Bottom