Binamu nyama ya hamu

Binamu nyama ya hamu

Hajulikani

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2013
Posts
273
Reaction score
252
Habari za weekend wadau,
Jumatano nilishika simu ya mchumba wangu nikakuta msg kutoka kwa Binamu yake wakichati kimahaba sana wakiambiana maneno kama "sweetheart" my love" "nakupenda sana" hivi haya maneno ni kawaida kwa jamii za kiafrika kuambiana au ndio hivyo tena Binamu ananilia.

Na ukiachana na wahindi na waarabu ni kabila gani TZ wana utamaduni Mabinamu kuoana?
 
Tafuta na wewe binamu yako mtumie msg za namna hyo then uone kama inawezekana kumla au unaishia msg tu
 
Mitego yako binamu imezidi kasiii
Presha inapanda kila wakatiiiii
Si utaniua mwenzioooooooo
Jua unanitesa mwenziooo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom