Binamu jipu

Labda binamu yake naye anashiriki kukusaidia, fanya uchunguzi wa kina boss ukibaini madudu piga chini
 
Embu jiamn bas khaa binamu tu anakupa presha ingekua co worker Si ungezimia
 
Utaacha wangapi kila siku, shikamana hapo hapo ila akikisha hayo mazoea yao unayaua.
 
Ndivyo walivyo mabinamu Tabia zao kma mwana fa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…