je parle
JF-Expert Member
- Nov 28, 2018
- 1,883
- 3,621
Niende moja kwa moja kwenye heading hapo juu.Kwanza kabisa haya ni maono yangu BINAFSI yasiyofungamana na chama ila nikutokana na kuguswa kwangu tu na mustakabali wa Taifa langu pendwa lenye watu wastaarabu wavumilivu wapole na wamchao Mungu.
Iko hivi hiki kitu kinachoitwa UCHAGUZI kwa maono yangu ni kuwa siku kitakuja kutuletea balaaa km ambavyo kilishaleta balaa kwa upande za zanzibar miaka iliyopita.
Binafsi sioni umuhimu wa serikali kutenga budget kubwa kwa ajili ya UCHAGUZI ambao utatuletea machafuko km tunavyoona kauli nyingi nyingi za kuhatarisha Amani kutoka kwa watu wanaotafuta madaraka kwa hali zote.
Unakuta kiongozi yupo tayari kufanya mauaji ili tu awepo nafasi fulani huu ni unyama utafikiri yeye hatakufa au ataishi milele na vijana wanatumika Sana kupoteza wenziwao kwa vipande vidogo vya fedha hii yote maana yake nini?
Kwa mtazamo wangu mimi uchaguzi ili usiwe na kasheshe nyingi visasi na lawama za kila upande ingekuwa tu vijiji vyote tanzania wanachagua mtu wao mmoja anawakilisha Kijiji kizima kwa ajili ya kura ya rais kwa kuwa hiyo ndio nafasi kubwa na yenye utata mkubwa inayotolewa macho na watu wengi.
Huu mfumo wa wazungu kuchagua kama wanavyochagua wao unatucost sana Afrika kwa kuwa kuna kundi kubwa sana la ukabila, udini,ukanda,kujuana juana kumezidi hatupo fair .utakuta kiongozi anakemea rushes yeye mwenyewe anakula rushwa au anajipatia mali kwa njia zisizofaaa.
Zanzibar wangejichagulia mtu wao tu kwani shida ipo wapi .Kama tayari tumeanzisha demokrasi kwanini bado tunalazimisha watu fulani lazima washinde hakuna usawa inaonekana km uwanja umeinama upande mmoja.
Uchaguzi huu wa kushiriki kila Mwananchi kwangu mimi ni big no bora kila Kijiji kitoe mtu wake mmoja wanaemuamini akapige kura ya wote kama kweli tunataka kusave costs na kudumisha Amani ya nchi.
My pleasure...