Binadamu wote ni sawa..!

Ha ha haaa...inabidi tuitishe mdajala mpana kitaifa kujua nani alitoka wapi kati ya mtu mume na hawa jinsia pinzani!
 
Mkuu ulidhani kampeni kama hizo wanaenda hadi Kwa mchoraji kuchorewa.. Hayo maandamano ya fast wanajiongeza wanatafuta mabox wanaandika wenyewe
 
Mkuu ulidhani kampeni kama hizo wanaenda hadi Kwa mchoraji kuchorewa.. Hayo maandamano ya fast wanajiongeza wanatafuta mabox wanaandika wenyewe
Lakin Wao wako mbali Sana mkuu, hadhi Yao sio kutumia mabox
 
Mwanamke ametoka katika ubavu wa kushoto wa mwanamme.kwanini anakataa?
 
...try that without his prior input! 😛

[HASHTAG]#justsaying[/HASHTAG]😀
 
Science ipo wazi ila iman figisu kibao
Kuna kale kamsemo ka mda mrefu kati ya kuku na Yai kipi kilianza Juzi jibu lilitoka sasa nasubiri hii ya kutoka kwenye mbavu na kutoka tunakotoka ni kipi kilianza! Tuwemo!
 
Ubavu ni mfupa, so ningetegemea wanawake wangekuwa skeleton tu
Binadamu ametokana na manii?mbona Leo hii amekuwa na umbile kamili.so angebaki vile vile kwenye hali ya umaji maji.yaliyotoka kwa baba yake?
 
Binadamu ametokana na manii?mbona Leo hii amekuwa na umbile kamili.so angebaki vile vile kwenye hali ya umaji maji.yaliyotoka kwa baba yake?
it's all about growth and development..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…