Binadamu wenye tabia na maumbile ya ajabu zaidi duniani. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Binadamu wenye tabia na maumbile ya ajabu zaidi duniani.

Discussion in 'JF Doctor' started by Mkali Tozz, Sep 12, 2012.

 1. Mkali Tozz

  Mkali Tozz JF-Expert Member

  #1
  Sep 12, 2012
  Joined: Aug 9, 2012
  Messages: 279
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Maana wamekuwa wakinichanganya kutokana na category na sifa zao kibaoloji kama ifuatavyo
  ( i) kunawengine wana matiti na uume tuu, hawana uke.
  (ii) kuna wengine wana uume na uke na matiti kwa pamoja.
  (iii) kuna wengine wana uke na matiti ila hawana haiba ya kike kabisa, hawana feelings za kuingiliwa.(jikedume)
  (iv)kuna wanawake ila wana ndevu, mustachi, misuli, sauti nzito na wanapenda kamapania za wanaume
  (v)kuna wanaume ila wana sauti nyembamba, ****** makubwa na matiti makubwa na wanapenda kampani za wanawake.

  Ningependa kufahamu maisha yao, asili yao , uwezo wao wa tendo la ndoa na behaviour zao kwenye mahusiano, Je wanauwezo wa kumpa/kupewa mimba? Nguvu zao kimaumbile (reproductive organs) zinafanya kazi kama kawaida?

  Ningeomba msaada wa mchanganuo wa viumbe hawa na mahusiano ya kwenye mambo ya LOVE & SEX
   
 2. Chocs

  Chocs JF-Expert Member

  #2
  Sep 13, 2012
  Joined: Aug 21, 2012
  Messages: 8,202
  Likes Received: 183
  Trophy Points: 160
  Mh! Ngoja watakuja kukufafanulia.
   
 3. m

  mwela Member

  #3
  Sep 13, 2012
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 47
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  mi mwenyewe mgeni napita tu..
   
Loading...