James Kasonda
Member
- Apr 2, 2012
- 84
- 49
Sijaamini mkuu kama mimi mtu wa pembeni niliumia, sijaamini wazazi waliondoka eti!mpaka leo hujaamini tuu......???
maisha yamekuwa ya ajabu siku hizi........na watoto kama hao mara nyingi huangukia kwenye uhuni, bange , fegi, unga na hata ulevi wa hovyo.....Sijaamini mkuu kama mimi mtu wa pembeni niliumia, sijaamini wazazi waliondoka eti!
Tunachukulia mambo makini kiuwepesi sanamaisha yamekuwa ya ajabu siku hizi........na watoto kama hao mara nyingi huangukia kwenye uhuni, bange , fegi, unga na hata ulevi wa hovyo.....
tunakesha makanisani kumuomba Mungu watoto......then tunaanza kujidai tuna uwezo,....nlikuta katoto kana miaka 4 boarding....inaumiza but huna la kufanya....halafu wazazi wako wanakula bata kama walilazimishwa kuzaaTunachukulia mambo makini kiuwepesi sana
.....inauma sana!tunakesha makanisani kumuomba Mungu watoto......then tunaanza kujidai tuna uwezo,....nlikuta katoto kana miaka 4 boarding....inaumiza but huna la kufanya....halafu wazazi wako wanakula bata kama walilazimishwa kuzaa
Mbaya sana mkuu, halafu wale wazazi waliondoka wanatabasamu wakiwa wanaongeaongea wao kwa wao😔😔na vijana wengine wakubwa na dada wa kazi maana yule dada alikuwa mweusi mwenzetu na wao asili ya arab/wapemba hivii, sijawaelewa mpaka leo!😔
Mtoto mdogo kusoma boarding wanakosea sanaMbaya sana mkuu, halafu wale wazazi waliondoka wanatabasamu wakiwa wanaongeaongea wao kwa waona vijana wengine wakubwa na dada wa kazi maana yule dada alikuwa mweusi mwenzetu na wao asili ya arab/wapemba hivii, sijawaelewa mpaka leo!
Na ugomvi ukiwafikia watoto lazima limoja halitumii akiliKuliko kushuhudia ugomvi wa baba na mama bora boarding akulie huko mpaka ajitegemee
Wanajifunza mambo magumu na ya ajabu uko ndo na ushoga pia, mara kusagana yaan dahmaisha yamekuwa ya ajabu siku hizi........na watoto kama hao mara nyingi huangukia kwenye uhuni, bange , fegi, unga na hata ulevi wa hovyo.....