Etwege
JF-Expert Member
- Jul 4, 2018
- 7,395
- 18,233
Watu weusi ndiyo binadamu waliobarikiwa zaidi duniani baada ya kuumbwa na kuwekwa kwenye bara bora zaidi na lenye kila kitu la Afrika.
Mabara mengine ni hovyo sana, kuna majira ya hurricane, snow, joto kali sana la kuuwa watu na baridi kali sana kugandisha watu.
Afrika ndiyo bara pekee unaloweza kupumzika na ukajiona umepumzika. Bara la Afrika lina kila rasilimali asili unayoijua duniani.
Ishara ya baraka ni pamoja na sehemu uliyozaliwa, kwa hakika mtu mweusi amebarikiwa sana maana amezaliwa katikati ya utajiri wa kutisha na utajiri huu ni kutoka kwa mwenyezi Mungu mwenyewe na siyo utajiri artificial (man made) kama wa watu wa mabara mengine.