Binadamu mwenye akili kuliko wote

Binadamu mwenye akili kuliko wote

Huyu kweli baraa kusolve defferential equation at early3! Mimi nilikuwa mbabe wa intergral lakini sahz ukinipa hiyo hesabu itanichukua muda kuvuta memory kichwa kimejaa dr\cr na financial derivatives!!
 
Tupe somo kidogo mkuu kwa ajili ya wote

Dah! mkuu ni maelezo marefu kidogo ni kama kuanzisha thread mpya maana ina mjumuiko wa studies mbalimbali za watu waliojaribu ku-examine IQ's za watu kuoanisha na sababu hizo za kifizikia(mazingira) au kijenetiki
 
Usijali mkuu..siku moja tupate iyo elimu japo sio leo
 
Amefanikiwa kutumia asilimia kubwa ya uwezo wa ubongo wake na hicho ndio kipimo cha kusema mttu fulani ana akili kumzidi mwingine...

In a normal sense huwezi solve hisabati za Calculus au Differential pasipo kufundishwa na kawaida huanza kufundishwa elimu ya sekondari.

Sasa kama mtoto mdogo below 10 yrs of age akiweza kukokotoa hizo mambo lazima atakuwa exceptional tu.
Bado hujanisoma, kuweza kufanya calculus au differential katika umri mdogo haina maana ya kuwa na akili kuliko watu wote. Huu mtazamo wa mtu kuweza kufanya hesabu kuhusishwa na kuwa na akili ndio ambao mimi ninaupinga. Akili anazo sawa nakubali, lakini huwezi kusema kuliko wote kwa kuwa kuna watu wengine wameweza kufanya mambo mengine yasiyohusiana na hisabati na wana akili pia. Sasa iweje huyu aliyefanya hisabati ndio awe na akili na sio aliyefanya kitu kingine??!!

Kwa mfano mwangalie huyu dogo Youngest Painter . Hapa utasemaje huyu dogo ana akili kuliko huyu mwana hisabati kwa kuwa kafanya hivi akiwa mdogo zaidi (miaka 7).

Nafikiri hadi hapa utakuwa umeelewa nasimamia wapi. Kupima akili za mtu kwa hisabati sio sahihi. Kwa hiyo bado sikubaliani na huyu bwana kuwa na akili kuliko watu wote.
 
Mkuu nimeweka picha na hiyo link hapo, umeona hiyo link? Kuna zaidi ya hisabati huyo dogo kafanya akiwa "kichanga",
 
Hiyo link yenyewe uliyotoa ukisoma utaona wanasema Guiness wamedisqualify IQ kwa kuwa ni un-reliable. IQ test ina-assume kwamba kujua mahesabu mengi ndio akili, kitu ambacho sisi tunaoangalia mambo kwa upana tunapinga. Mimi nilikuwa ninapiga A sana tu kwenye hesabu na hayo mafizikia na kiukweli watu wamekuwa wakinihusisha na kuwa na akili, sikatai kuwa nina akili, ila kipimo cha kutumia uwezo wa kufanya hesabu ngumu sio sawa. Nimeamua kusema hivi ili kukuonesha kuwa sipingi kwa kuwa siwezi hesabu ila ninapinga kwa kuwa ninaamini sio sahihi. Na sio mimi tu hii kitu ipo duniani kote. Utaratibu wa kutumia hesabu kupima IQ sasa hivi unapingwa sana.

Cheki hapa IQ study
 
Dah! mkuu ni maelezo marefu kidogo ni kama kuanzisha thread mpya maana ina mjumuiko wa studies mbalimbali za watu waliojaribu ku-examine IQ's za watu kuoanisha na sababu hizo za kifizikia(mazingira) au kijenetiki

kweli kaka kuna takwimu nlzisoma huyu jamaa ni kama wa 10
 
Kwani kuweza hesabu sio kuwa na akili?
Ni kuwa na akili lakini huwezi kusema kwa uhakika ni kuwa na akili kuliko wote. Msisitizo ni kwenye "kuliko wote".​ Unaamuaje kuwa mtu ana akili kuliko watu wote??
 
Mkuu nimeweka picha na hiyo link hapo, umeona hiyo link? Kuna zaidi ya hisabati huyo dogo kafanya akiwa "kichanga",
Hata kama ingekuwa ni hesabu peke yake mkuu utafiti bado angeweza kuitwa mwenye akili kuliko wote, kinachoangaliwa hapo ni kuiweza hiyo hesabu "katika kasi gani"?. Wewe ukifanya Geography ukapata alama 80, mimi nikafanya Biology nikapata 90, mimi nitakuwa considered nina akili kuliko wewe regadless ya utofauti wa masomo, nafikiri mjasiria ​ ameelewa.
 
Ni kuwa na akili lakini huwezi kusema kwa uhakika ni kuwa na akili kuliko wote. Msisitizo ni kwenye "kuliko wote".​ Unaamuaje kuwa mtu ana akili kuliko watu wote??
Sioni umaana wa swali kwamba "Unaamuaje kuwa mtu ana akili kuliko wote??" , wewe hujawahi kusikia kwa mfano "mtu mrefu kuliko wote??"
Huwa wanaamuaje?
 
Kama unataka kuzungumzia urefu anzisha uzi. Hapa tunaongelea habari ya kuwa na akili kuliko watu wote. Hivi ni vitu viwili tofauti sana, na kama akili yako inaona vina uhusiano, jitahidi urudi shule au uelekee mirembe.
 
Mmmmh!!, kuelekea mirembe tena ume exaggerate sana mkuu.
Urefu na akili ni kweli havina uhusiano, lakini kwenye hiyo post ulizungumzia comparison, kwamba unajuaje mtu mmoja kamzidi mwingine, iwe ni kwa upana, akili n.k,

Mimi nabakia palepale, ukiuliza kuwa "wanajuaje kuwa mtu flani ana akili kuliko watu wote" nami nitakuuliliza kwa mfano, "wanajuaje kuwa mtu flani ni mrefu kuliko watu wote??"
 
in reality kuangalia nan mwenye IQ kubwa ni mfano na kufanananisha nan mcchana mzuri kuliko wote hapa dunian co huwez pata jbu xo accurate coz hamna kipimo maalum cha kuamua na hvyo guiness hawana ishu iz
 
Nakubaliana na mtoa komenti mkja hapo juu kuwa kuwa na akili is a relative term. Inategemea akili yako imejaa wapi. Huwezi kuwa master of all disciplines .
 
tujaalie umekutana nae darasani halafu yanatoka matokeo ya mathematics unaambiwa amepata 50 wewe una aproximate una ngap
 
Back
Top Bottom