Binadamu kiumbe mzito sana

Binadamu kiumbe mzito sana

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,037
Reaction score
34,741
358873fad4914931314b94f2036b503a_M.jpg
 
We gawa maziwa bure uone watu watakavyokunywa sio wewe unaehamasisha kwa maneno wakati watu wamepigika
 
kwa mwaka at least mtu unywe pipa moja la maziwa.....
 
Al-Hamdulillah...... Mifugo ipo kwa wingi..... maziwa ni lishe ilokamilika.... hata bei yake inakubalika.
 
Binaadamu kama hajaamua kufanya jambo lake hata umwambiaje hakuelewi....hata liwe na manufaa nae..
 
wakati mwengine tunakuwa hatuna hela ya kununulia madhiwa.
Nalog off
 
Bia tuna hamasishwa via matangazo na bahati nasibu wajameni
 
Tuhamasishwe tu na si maziwa pekee mpaka nyama pia...... Yeah bila kubustiwa ubongo akili haiendi.
 
Back
Top Bottom