Binadamu anakaribia kujiangamiza yeye mwenyewe

marco polo jr

JF-Expert Member
Mar 31, 2020
363
1,770
Kabla ya yote nipende kutoa tahadhari corona inaua chukua hatua jikinge wewe na mwenzako.

Kuna msemo unaitwa toomuch is hamful .Kitu chochote hata kiwe kizuri namna gani kitakiwa kuwa kuwa na kiasi chake.leo hii binadamu tunateseka na janga hili la corona ambalo linatesa dunia nzima.

Kuna tetesi ambazo hazijathibitishwa kwa hiki kirusi kikiponyoka kwa bahati mbaya kutoka maabara na sasa ndio kimeleta mushikeri mkubwa duniani ni uzembe wa watu Fulani.

Dunia yetu iliumbwa yapendeza Sana na ilikuwa haina magonjwa ya ajabu ajabu binadamu leo hii ameshaiharibu dunia imekuwa sio sehemu salama tena chukulia mfano unaambiwa silaha za nyuklia za Russia peke yake zinaweza angamiza dunia nzima kama alitumia pia Kuna mataifa kadhaa ambayo ni uk, France,USA, India,China, Pakistan pia inasemekana IsraeI naye pia anamiliki silaha hizi hatari kwa binadamu pamoja na mazingira binadamu leo tumeshindwa kutumia akili vizuri tunatumia akili kujiletea matatizo.

Je, ikitokea Leo Vita ya kinyukilia tutapona dunia nzima ni matatizo makubwa Vita,njaa magonjwa yasiyo na tiba ambayo binadamu mwenyewe ndio kasababisha kwa Hali inayoendelea dunia ipo siku binadamu tutajiangamiza sisi wenyewe kwa kushindwa kutumia akili na maarifa tuliyopewa.
 
Daaaa ila kweli, hawa nguruwe wanajidai wanaakili Sana'a ila sometime wanashindwa kutumia vizur wanajifikilia wenyew utazani wenyewe hawaishi kwenye dunia hii tunayoishi as if wenyewe watapaa na kutopata effects.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom