Binadamu anahitajika kulala masaa mangapi kiafya?

Igle Tz

New Member
Jan 25, 2019
3
3
Habari wana JF iimi nataka kufahamu ni masaa mangapi binadamu inabidi alale ili awe na matokeo mazuri kiafya
 
Inategemea anafanya kazi gani, umri wake, na hali nyingine za kiafya.
Japo wengi ni ndani ya masaa 6 mpaka 8 kea watu wazima.
Jitahidi yasizidi 8.
Na kama utalazimika kulala chini ya masaa 6 labda kulingana na nature ya kazi mfano mwanafunzi, basi jitahidi haya masaa: saa7, saa8 na saa9 yakikutie usingizini (ndotoni).

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom