Majok majok
JF-Expert Member
- Aug 3, 2023
- 783
- 2,058
Kama mlipumuliwa kisogoni mechi ya ngao mpaka mkawa mnapoteza muda ngoma iende kwenye matuta, wakati huo kina baleke, miksoni, chama wakifichwa Kama vile awapo uwanjani ndio mtawaweza yanga kwenye ligi?Simba kumfunga tena Yanga msimu huu uwezekano upo na ni mkubwa hasa kama wataacha ujinga wa kupanga kikosi kwa mazoea ila sioni timu nyingine inaweza kuifunga Yanga na hapa naongelea kwa uwezo wa uwanjani na pia kwa mbinu za nje ya uwanja.