JituMirabaMinne
JF-Expert Member
- May 4, 2020
- 3,383
- 9,835
Hizo GX zinamilikiwa na serikali, makampuni na taasisi kubwa.
Mantainance yake ni sawa na hizo za ujerumani, interms of expenses na time.
Ni vile individuals wachache ndo wanazimiliki na hawazipi kashkash kama za serikali. Nimeshafanya kazi na hizo gari, serikali inapeleka pale Toyota Tz bill inakuja 5 -6M na inalipa bila mawazo.
Ila msizione hiko barabarani mkaziona zni durable sana.
Observation nzuri.. Hapo tulikuwa kwenye high speed.. Kwahiyo gari inachukua muda mrefu kutoka 160-210.. Tofauti na 60-110.. Hakupunguza mwendo..ungeona taa za brake zimewaka kama ameshika brake.. Mbio za panya zilifika ukingoni..!Mbona kama umetumia muda mwingi sana kumpita, sio kuwa jamaa alishuka kidogo mwendo uendelee na mbio zako?
Ume fail sana, ushindanishe BMw serise 1 ya 15 million na LC V8 .. papambanisha gari ambazo zipo class moja na thamani mojaKabisa mkuu. Shida ni kwamba, vijana wakishanunua bmw 1 series ya m15 baasi wanaona wamemaliza na kutaka sifa za kijinga za kujidanganya kujilinganisha na LC sababu sahani yake inasoma juu ya 180 na mlango ukiufungua ni mzito.
Shockups OG za Toyota Harrier ni 1.4M.Wajapani wenzako wamekunja sura huko....
Wanatafuta namna wakuchome moto....
Mi nililetewa Vieite ilienda tu kigoma hivyo ikawa imetembea kwenye vumbi kipande kirefu... Iliwasha check engine kuja kupima MAF sensor ishafanya yake...
MAF sensor yake used 250k hadi 300k...
Sasa hapo kuna tofauti gani na mjerumani?
.. Hakupunguza mwendo..ungeona taa za brake zimewaka kama ameshika brake..
LC 200 ina top 381hp.Ume fail sana, ushindanishe BMw serise 1 ya 15 million na LC V8 .. papambanisha gari ambazo zipo class moja na thamani moja
Wapambe hao. Kuna vingine unaawaacha waendelee kujifurahisha huku wanajua ukweli.. LC inakaa kwa gari nyingi sana za ulaya bila matatizo huyo unampa tu hata Amarok V6 bado itamchapaLC 200 ina top 381hp.
LC 300 ina top 421hp top speed 260kph.
BMW X5M competition ina top 625hp top speed 300kph.
Hapo hujawaweka kina Cayenne Turbo, AMG GLE 63S n.k.
Halafu mtu anakwambia LC itafika haraka destination kabla ya hao wadudu.
Aisee huwezi kusema umepunguza mwendo kwa kuachia accelerator pad.. Upo kwenye mteremko ukiachia pad gari inapungua mwendo!!!?Okay sir...
Ila mkuu si unajua kwa safari za mikoani/ndefu huwa si lazima ushike breki kupunguza mwendo, sehemu kama hizo mtu anataka kupita unaachia tu accelarator pad gari inapungua mwendo yenyewe...breki unaitumia pale tu unataka usimame kwa haraka au kwa ulazima...
Hahahahaha...... sasa chief gari si ulikua unaendesha mwenyewe tuambie basi hapo wakati unampita ulikua speed ngapi?Aisee inaonesha mambo ya magari bado huyafahamu.. Video ya dashboard sina.. Ila angalia hiyo video.. Ina almost 60 secs.. Na imeanza kuchukuliwa teyari gari ipo kwenye mwendo.. Kwahiyo muda wote huo dakika nzima BMW inahangaika kufika 120kph..!!!
Isije ukawa unadhani ni ile BWM ya Rutashobya..!!!
View attachment 2022885
Sawa..!Yawezekana we ndo ulikuwa unaona ligi, ye alikuwa anatembea kawaida tu, sometyms unakuta unatembea mwendo wako wa kawaida kabisa wa labda 120 maana ndo comfortable zone yako, kinatokea kimtu kime rev mpaka mwisho kabisa kinakupita then kinapunguza ukipite then kinakupita tena kinataka ligi, yani watu wengine wa ajabu kweli, hulipwi hufaidiki chochote na ata hamjuani anafanya mashindano ya kijinga, akipata ajali anapata asala tu,
Binafsi waga natembea na mwendo wa kuwa comfortable na kutumia kafuta vizuri
Bado watu wanadhani barabara za sasa ni zile za miaka ya 90. Wasijue almost kila week tupo barabarani na tunaziona hizo barabara.Wapambe hao. Kuna vingine unaawaacha waendelee kujifurahisha huku wanajua ukweli.. LC inakaa kwa gari nyingi sana za ulaya bila matatizo huyo unampa tu hata Amarok V6 bado itamchapa
Mlipanga kukimbizana au umempita bila makubaliano?Aisee fans wa Toyota wengi hamfahamu magari zaidi ya V8 na JZ engines..
Landcruiser V8 zipo zenye top speed ya 180kph.. 240kph..260kph..ukiangalia kwenye hiyo video hilo ni GX.. 240kph.. Mimi chuma cha kijerumani kwanini nisimsmoke..!!
Akiyapita magari mengine mnasifia V8 gari inakimbia.. Nikimsmoke mnasema amerelax..! Angekuwa amerelax hiyo Prado 150 ingepitwa vipi..!!
V8 ni mbabe kwa wajapani wenzake.. Huku kwingine inakuwa mvutano..!
πππ Toyoda wanajitoaga ufahamu tu, ila wanajua kabisa Wajerumani sio viwango vyoa, na ukikuta wanaleta hoja za mashindano wanalingamisha Gari kama BWM series 1 na V8 ndio utagundua hawapo sawa haoBado watu wanadhani barabara za sasa ni zile za miaka ya 90. Wasijue almost kila week tupo barabarani na tunaziona hizo barabara.
Kwa njia nyingi ninazozifahamu, hakuna barabara wala matuta ya kuwasumbua kina BMW wala Benz.
Nimewakajeli tu vijana wenye bm. Hujanielewa.Ume fail sana, ushindanishe BMw serise 1 ya 15 million na LC V8 .. papambanisha gari ambazo zipo class moja na thamani moja
hapa sasa nimekuwelewa vizuri sana ππππππ mwanzo sikuwa nimeelewa una maanisha niniNimewakajeli tu vijana wenye bm. Hujanielewa.
Yes hiyo ndio point yangu.. Exposure.. Sio kweli kuwa kulikuwa hakuna gari za kumsumbua.. Ni watu hawakuwa nazo au kuzifahamu.. Wajerumani wanazo gari zenye mbio tangu miaka ya 80..!