Aisee 2 seconds sio mchezo..yaani kufumba na kufumbua upo 100..Kuna kitu kwenye magari kinaitwa 2 seconds barrier.. Jaribu kufuatilia uone kwanini it's nearly impossible kuvunja hiyo barrier ya 2 seconds..!With a launch control ni less than 3 secs.
Chini ya 2 secs zipo gari nyingi tafuta Tesla Model S Plaid Edition. Haifiki 2 clsec from 0 to 100.
Halafu sedan nyingi zinaaccelerate faster kuliko kuliko SUV sababu ya structure zake kuruhusu more air kuflow. Pia Sedans siyo nzito sana kama SUV
Tukiwa safarini na wadau.. Tukasema tupime mwendo na Landcruiser.. Matokeo ndio kama hayo..!
Hii test tumeifanya kwa kipande kifupi.. Then tukapunguza mwendo Landcruiser ikapita.. Rpms kwetu zilikuwa zinacheza kwenye 6k..V8 yeye engine kubwa stamina ya kutosha.
Tahadhari spidi kali ni hatari..ndio maana hapo kwenye dashboard kuna vitabu vya dini.. Incase chochote kikitokea tunakimbilia kutubu.
View attachment 2020608
Land cruiser alikua haba habari kabisa anaenda mwendo wa ku relax yani!Mbona kama landcruiser hajui kama mnapima mwendo?...
Gari nyingi za mjep zinaishia 180 hivyo hata angekanyaga mpaka kibati bado 180 ndio ungekuwa mwisho....
Mjerumani angempita tu...
Halafu pamoja na kwamba LC ina engine kubwa ila bado Sedan nyingi zenye smaller engines huwa zinachanganya faster huliko SUV...
With exception kwa gari kama Jeep Grand Cherokee Trackhawk Ambayo engine yake ina almost 800HP kasoro.
Ziko za 180 ambazo ndiyo tunaletewa bongo,,,,nchi za kiarabu kama ckosei zote ni 220, 240 na 260.
ZX ina 260 full options😅Gari yoyote inayouzwa soko la ulaya top speed ni zaidi ya 180 hata humu tumeshakutan na toyota, subaru, nissan n.k. ambazo zipo hivyo.
Gari yoyote inayouzwa soko la ulaya top speed ni zaidi ya 180 hata humu tumeshakutan na toyota, subaru, nissan n.k. ambazo zipo hivyo.
Aisee 2 seconds sio mchezo..yaani kufumba na kufumbua upo 100..Kuna kitu kwenye magari kinaitwa 2 seconds barrier.. Jaribu kufuatilia uone kwanini it's nearly impossible kuvunja hiyo barrier ya 2 seconds..!
Tesla uliyoitaja ina hp zaidi ya Buku 1,000+hp.. Engine kubwa.. Hakuna sedan inaweza pull 0-100 under 2 seconds..! Hata mbele iwe imechongoka kama sindano na nyepesi kama karatasi haiwezi..! Hata hiyo Tesla kuna special conditions..!
Uzito.. Aerodynamics.. Yes hizo ni sababu za gari kuchanganyana mapema.. Ila Engine ndio kila kitu..LC200 nzito karibu tani 3.. Ila moto wake unajulikana.. Ndio maana hata jina maarufu ni V8.. Sifa ya engine..!
Hahaha aisee unazingua.. Engine na Motor mule mule..!Hiyo tesla haina engine. Ni gari ya umeme.
Halafu 0 to 100 kwa less than 2 zipo video nyingi sana youtube wanazungumzia hilo.
Tafuta video za gari inaitwa Aspark Owl uone balaa lake.
Yes unasema engine inamatter ila mfano mdogo tu. BMW X6 M competition ina smaller engine kuliko Hiyo Track Hawk....
Ila ukija in real life kwenye race hiyo M competition ni ya moto. Inaaccelerate faster kuliko Track hawk.
Hahaha aisee unazingua.. Engine na Motor mule mule..!
Unaona sasa aina ya gari unazozitaja.. Ndio nazisikia leo.. Gari za kuhesabika na sio sedans.. Inaonesha kabisa hakuna gari nyingi zinazoweza kupull hiyo 2 seconds barrier..!
Aisee X6 M haina engine ndogo.. Twin turbo.. V8.. 600+ hp.. Nini tena upewe hapo.. Yes haijafika hp za Hawk ila hiyo Bavarian Motor sio ndogo..Yaani Sababu Yao Ming ni mrefu zaidi ya Shaq O'Neal unataka kusema Shaq ni mfupi..!!?
Gusa doti tatu juu kulia kisha web viewNahisi ufungue kwenye browser.. Then uende kwenye Tech then magari na vyombo vya usafiri.. utakutana nayo..!
Cayenne ana SUV ya kawaida inafanana na X5 na ana SUV Coupè inafanana na X6.X6 na Cayenne zinakuwaje SUV?
Hizo Ni Coupe mzee....
Halafu hizo gari zote unazo taja zote zinaaccelerate slower ukilinganisha na SUV niliyokutajia.
Sasa imegine hiyo Jeep from 0 to 100 hailzifiki sekunde 3
Halafu kuna sedan nyingi tu ambazo acceleration kama hiyo haivuki 2 secs
Pamoja na kwamba Trackhawck ana HP kubwa ila kuna gari zina HP ya kawaida zinamkalisha mchana kweupe.Gari nyingi za mjep zinaishia 180 hivyo hata angekanyaga mpaka kibati bado 180 ndio ungekuwa mwisho....
Mjerumani angempita tu...
Halafu pamoja na kwamba LC ina engine kubwa ila bado Sedan nyingi zenye smaller engines huwa zinachanganya faster huliko SUV...
With exception kwa gari kama Jeep Grand Cherokee Trackhawk Ambayo engine yake ina almost 800HP kasoro.
Hakuna SUV duniani yenye kutoka 0-100 chini ya 3 sec.X6 na Cayenne zinakuwaje SUV?
Hizo Ni Coupe mzee....
Halafu hizo gari zote unazo taja zote zinaaccelerate slower ukilinganisha na SUV niliyokutajia.
Sasa imegine hiyo Jeep from 0 to 100 hailzifiki sekunde 3
Halafu kuna sedan nyingi tu ambazo acceleration kama hiyo haivuki 2 secs
Hakuna SUV duniani yenye kutoka 0-100 chini ya 3 sec.
Hili siwezi kubisha na hata moja ya post nimeongea. hapo juu nimeongea hili.Pamoja na kwamba Trackhawck ana HP kubwa ila kuna gari zina HP ya kawaida zinamkalisha mchana kweupe.
Porsche Cayenne Turbo GT
BMW X6 Competition
Hawa wadudu wawili ni bad news linapokuja suala la mbio.