Boda boda nyingi hasa maeneo ya vijijini na miji midogo hazina bima iliyo hai. Ukiuliza unaambiwa boda boda zimesamehewa kukatiwa bima. Niwaulize hahusika (Polisi usalama barabarani/SUMATRA) nilivyojibiwa na hao waendesha boda boda ni sahihi? na kama ndivyo abiria/mtu aliyeathirika kwa ajali ya boda boda au mwenye gari lililoharibiwa na boda boda (kosa likiwa ni la boda boda) wanapataje haki zao ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app