Kaduguda
JF-Expert Member
- Aug 1, 2008
- 724
- 641
Naomba kwa mwenye uzoefu atupe ushauri sie wateja wapya wa Bima za magari.
Nimeagiza gari Toyota Noah - 2007, gharama zake mpaka kuitoa ni TZS 12M. Je Bima kwa maana ya comprehensive au Third party inaweza kuwa kiasi gani?
Na je, kuna formula yeyote inatumika au ndio kila kampuni inategemea dalali wake?
Naomba ushauri pia wa kampuni ipi haina mizengwe maana wengine wasumbufu sana likitokea tatizo.
Karibu kwa ushauri!