bima ya kawaida ya gari ya 1990cc

nasikia unaweza lipia bima nmb bank,wao wanahusikaje?
Ha ha ha ni kama unachukua hio 118,000/- kwa mkopo. Wao wanalipa hio 118,000/- cash wewe unalipa taratibu kila mwezi plus interest kubwa!
Au ulipe cash nmb anakuwa broker wako hamna cha zaidi
 
Back
Top Bottom