Ajabu ni kuwa makato ya bima ya afya huanza mara tu mtu aajiriwapo na gov.t kabla ya mwajiriwa kujaza form za kuhitaji huduma za mfuko huu. Hata mwajiriwa anapojaza form zao, huchukua miezi miwili au mitatu kabla ya kupewa kitambulisho. Wakati wote huo hela hukatwa ktk mshahara pasipo huduma kwa mwajiriwa mpya... WIZI MTUPU