Bima ya Afya NSSF

bukoba boy

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2015
Posts
5,374
Reaction score
3,972
Wadau kwema!
Naomba kujua kuhusu bima ya Afya ya NSSF kwa wanachama wake.Iko vipi sababu amekuja Inspection officer wao ofisini ametushawishi tujiunge kwani ni kama bure sababu hakuna gharama nyingine zaidi ya michango.Unapewa list ya hospitali maalum kwenye mkoa husika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…