Hakuna kinachoendelea kwa sasa katika ofisi za bima hapo moshi.Watumishi wote ni kujichotea tu mahela ya Mfuko wanavyotaka. Watumishi hawakai ofisini, mara wapo supervision,mara going rural,walau hapo kwenye vitambulisho kuna kijana mmoja anaonekana kujali na yupo serious kidogo, wengine wote hasa madaktari ni uozo mtupu wamelundika hapo ofisini. NHIF Moshi is a criminal organization that needs to be dismantled! And fast.