Bima ya Afya kwa Wote (Universal Health Care)Rais Samia atoa TZS 149BL

.........Kazi iendelee ......

Pamoja na kwamba Bima ya Afya kwa wote iko kwenye Ilani ya CCM 2020-2025 Ukurasa wa 136 aliyekuwa Mgombea Urais wa Chadema Tundu Lissu alidukua kipengele hiki na kukinadi kwa nguvu kubwa wakati flani, ikaonekana kana kwamba hilo wazo la " Bima ya Afya kwa Wote "ni lake Watanzania bila kujua kuwa alilidukua toka Ilani kubwa ya chama kikubwa cha CCM ,fine yamepita,

Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutambua umuhimu wa "Bima ya Afya " tayari ameshatenga pesa kiasi cha Tshs 231.7BL kwaajili ya kugharamia mpango huu kupitia Bajeti ya Wizara ya Afya ya FY2021|22 hapa nataka nawale wachache waliosalia Chadema na vyama vingine vya ACT, NCCR, CUF waje CCM kuungana na Mama Samia Suluhu katika kuwaletea Watanzania maendeleo endelevu kwakuwa kila walichoahidi kwa maneno Mama Samia Suluhu anafanya kwa vitendo ,

NB, Muswada wa sheria ya Bima ya afya kwa wote rasmi bungeni mwezi Nov 2021 pesa tayari ipo.

VIVA TANZANIA VIVA || VIVA SAMIA VIVA

View attachment 1946040
Kutawala masikini wajinga ni raha sana. Watanzania idadi tupo zaidi ya 60m, sh 240bn unazo sema zimetolewa na Samia (katoa mfukoni mwake?) Ukizigawa kwa watanzania ni wastani wa sh 4000! Hizi zinatosha kwa bima ya vijijini, CHI, wakijiunga. Hii bima inatambulika kwenye zahanati na vituo vya afya ambako dawa hakuna. Hospitali ya wilaya ni shida, hazitambuliki.

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Kazi iendelee...

Pamoja na kwamba Bima ya Afya kwa wote iko kwenye Ilani ya CCM 2020-2025 Ukurasa wa 136 aliyekuwa Mgombea Urais wa Chadema Tundu Lissu alidukua kipengele hiki na kukinadi kwa nguvu kubwa wakati flani, ikaonekana kana kwamba hilo wazo la " Bima ya Afya kwa Wote "ni lake Watanzania bila kujua kuwa alilidukua toka Ilani kubwa ya chama kikubwa cha CCM, fine yamepita,

Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutambua umuhimu wa "Bima ya Afya " tayari ameshatenga pesa kiasi cha Tshs 231.7BL kwaajili ya kugharamia mpango huu kupitia Bajeti ya Wizara ya Afya ya FY2021|22 hapa nataka nawale wachache waliosalia Chadema na vyama vingine vya ACT, NCCR, CUF waje CCM kuungana na Mama Samia Suluhu katika kuwaletea Watanzania maendeleo endelevu kwakuwa kila walichoahidi kwa maneno Mama Samia Suluhu anafanya kwa vitendo.

NB, Muswada wa sheria ya Bima ya afya kwa wote rasmi bungeni mwezi Nov 2021 pesa tayari ipo.

VIVA TANZANIA VIVA || VIVA SAMIA VIVA

Hili liliongelewa hata na Msigwa miezi 2 iliyopita tena walisema wataanza na makundi maalumu ya kipaombele kama watoto na wazee,wanafunzi na wamama wajawazito.

Aisee hapa Serikali itakuwa imetudaidia Sana,,Serikali ya mama inafanya mambo makubwa nashangaa wanashindwa kuwaeleza wananchi..

Ndani ya miezi 6 amefanya mambo makubwa Sana na atafunika awamu zote zilizopita..
 
Samia kiboko
 
Hebu acheni upumbafu, Rais ametoa Kutoka wapi? Kwenye mshahara wake? Hebu kueni bana, Sema "Serikali imetoa Tsh kadhaa kwaajili ya jambo flani"
kwani wewe kwa upumbavu wako ulionao unafikiri rais ni nani? rais ni taasisi samia ni kiongozi wa hiyo taasisi unafikiri hii ni kama viloe saccoss ya mbowe? hapana ni taasisi kwahiyoacha chiki zako
 
Kazi iendelee...

Pamoja na kwamba Bima ya Afya kwa wote iko kwenye Ilani ya CCM 2020-2025 Ukurasa wa 136 aliyekuwa Mgombea Urais wa Chadema Tundu Lissu alidukua kipengele hiki na kukinadi kwa nguvu kubwa wakati flani, ikaonekana kana kwamba hilo wazo la " Bima ya Afya kwa Wote "ni lake Watanzania bila kujua kuwa alilidukua toka Ilani kubwa ya chama kikubwa cha CCM, fine yamepita,

Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutambua umuhimu wa "Bima ya Afya " tayari ameshatenga pesa kiasi cha Tshs 231.7M kwaajili ya kugharamia mpango huu kupitia Bajeti ya Wizara ya Afya ya FY2021|22 hapa nataka nawale wachache waliosalia Chadema na vyama vingine vya ACT, NCCR, CUF waje CCM kuungana na Mama Samia Suluhu katika kuwaletea Watanzania maendeleo endelevu kwakuwa kila walichoahidi kwa maneno Mama Samia Suluhu anafanya kwa vitendo.

NB, Muswada wa sheria ya Bima ya afya kwa wote rasmi bungeni mwezi Nov 2021 pesa tayari ipo.

VIVA TANZANIA VIVA || VIVA SAMIA VIVA

mbona hio pesa kama ndogo sana?
 
kwani wewe kwa upumbavu wako ulionao unafikiri rais ni nani? rais ni taasisi samia ni kiongozi wa hiyo taasisi unafikiri hii ni kama viloe saccoss ya mbowe? hapana ni taasisi kwahiyoacha chiki zako
Upumbafu wako na ukoo wako ndio ulisababisha ukose elimu na uamini Kila mtu ni mpinzani, mentality ya kijinga Sana Hii.
 
Back
Top Bottom