Huo ni mfano tu ndugu hizo ni 45 billion kwa mwezi ukiweka kwa mwaka inafika 540 billion.Hiyo pesa haitoshi kugharamia matibabu.
Kwa Mwaka NHIF hutumia zaidi ya Bilioni 100
Unawajua Watz unawasikia?Huo ni mfano tu ndugu hizo ni 45 billion kwa mwezi ukiweka kwa mwaka inafika 540 billion.
Tunaweza tukiamua.
Mchango kwa Mwaka ni Tsh. 192,000/=.Naomba kuuliza.
Nataka kumkatia binti yangu bima NHIF itakayomuwezesha kutibiwa hospitali za Kanda na Muhimbili.
Je Ni sh ngapi kwa mwaka?
Umri wa binti Ni miaka 28.
Natanguliza shukrani.
Kumbe mpo mtusaidie mawazo ya mchangiaji vipi inawezekanMchango kwa Mwaka ni Tsh. 192,000/=.
Wabunge wako wanaona fursa kwenye mafuta tuHabari Tanzania !
Naomba kuuliza swali kwa kuweka oni juu ya bima ya afya kwa wote!
Hivi kwa mfano tukiamua kama Taifa kila mwananchi mwenye umri wa miaka 18 raia pekee (only Tanzania citizen) kuchangia Tshs. 1,000 kwa mwezi tu. Hii ikawa ni utaratibu tu katika Taifa letu kwa sharti kuwa huduma ya afya iwe bure kwa kila mtanzania popote pale ndani ya nchi yetu, nyinyi NHIF na Wizara ya Afya mtakuwa na lakutudai?
Mfano usio rasmi, wenye umri kuanzia miaka 18 kutokana na hesabu ya sensa ni watu zaidi ya 45 milioni.
( 45,000,000 × 1,000 ) = Tshs. 45,000,000,000/=
NB
Serikali mtazidi kuboresha huduma ya afya pasipo msukumo wowote.
Cc
Ofisi ya Rais
Ofisi ya Waziri Mkuu
Ofisi ya Spika
Wizara ya Tamisemi
Wizara ya Afya
Wizara ya Fedha
Mwisho
Karibu kwa mchango wako
Wakiamua kuwa wafikiriaji wema hakuna watakachoshindwa kukifikia.Wabunge wako wanaona fursa kwenye mafuta tu