Wewe ni daktari ndomaana ulikuwa unatutafuta. Haya sasa umeshanipata? So what?Nyie ndio nilikuwa nawatafuta....
Hivi ni nani alowaambia hizo bima ni kwaajili ya kufanya unalolitaka?
Nafikiri zimewekwa kwaajili ya matibabu siyo kwaajili ya kingine tofauti na matibabu....
Dr. Ndiye atakayetoa ruhusa au ku initiate kipimo ila siyo wewe ndio hivyo boss....
Vumilia tu
BIMA zinafuata muongozo wa kimatibabu STG na siyo hisia na miemko yako....
Usitoe lawama, ila waambieni na waombeni waiboreshe
Daktari hapangiwi...ungejua ugonjwa unaokusumbua ungeenda kununua dawa na sio hospitali...kuhusu usafi ulitaka kutibiwa eneo ambalo ni chafu si ndo ungesema zaidi,kila sehemu ina utaratibu wake ,kama unataka fast track tafuta hela.....Yaani mtu unajieleza weee halafu daktari anakwambia nenda maabara ukifika eti unapimwa malaria
Daktari ukimwambia akupime na vitu fulani fulani anakataa tena mwingine anaona kama unamfundisha kazi. Yaani mtu kuandika tu ukapimwe kitu fulani anaona kama anafanya kazi ya mkwe!
Dawa kila siku ni amoxicillin piriton alu na paracetamol ndizo zilizopo. Dawa nyingi unaambiwa ukanunue
Halafu kuna kero nyingine nayo ngoja niiweke humu...
Zamani ukienda hospital fasta tu ila saivi utasotea hapo nje ukisubiri eti wamalize usafi
Usafi ukiisha wanaanza kupanga ofisi zao unakuta karibu lisaa eti wanaandaa. Mapokezi hapo foleni yake ya kufa raia na pale huwa hawana hiyana akianza kaanza
Ukitoka mapokezi unaambiwa nenda kwa daktari huko kwa daktari ndo utalia sasa. Kwanza chumba chenye uhakika wa kuwepo daktari unakuta ni kimoja tu wakati kuna milango karibu saba na yote imeandikwa chumba cha daktari.
Basi mnafika mnajazana hapo kwenye chumba cha daktari na si ajabu hayupo mpaka anakuja kuwasikiliza ni lisaa lingine mbele. Mkitoka ngwe hiyo mnakwenda kupigishwa mark time maabara nako tena
Maabara ndo kabisa kama una moyo wa hasira hutadumu yaani. Kwanza mpaka ashike hizo document zenu ni kipengele na Jamaa kisha anachukua makaratasi yenu yote anaita mmoja mmoja anawatoboa vidole na kuwapa vichupa (malaria na mkojo ndo vipimo maarufu utakavyopimwa ukifika maabara)
Ngoma majibu sasa badala atoe kwa kadiri anavyowapima eti anasubiri karibu awamalize wote ndipo utasikia akiwapa majibu mrudishe kwa daktari
Maana yake mwendapanga foleni upya kwa daktari tena. Mkitoka hapo mnaenda kupigishwa foleni kwenye dawa napo
Siku moja nimeenda Ruangwa Hospital aisee asubuhi sana nikakaa pale nje usafi wakaja kumaliza saa saa 2:30 okay tumejipanga kwenye mabenchi wakaanza kuweka vitu hapo kama haikuchukua saa na nusu sijui tukavumilia
Wameanza huduma tena wagonjwa kwenda kwenye milango ya madaktari hakuna dokta hata mmoja nakumbuka alikuja daktari mmoja kwenye kama saa nne hivi ndo akaanza kuhudumia.
Kwenda maabara nakumbuka tukamkuta mdada wa usafi anafanya usafi tulikaa pale nje kama wehu mara jamaa anavuka mara anarudi baadae ndo akaja kuchukua makaratasi hayo akapima watu weee wakaisha waliokwepo pale
Basi tulikaa pale aisee mpaka unawaonea huruma wale wagonjwa waliozidiwa. Jamaa kaja kuwapa majibu sijui saa saba halafu ndo foleni kwa daktari tena halafu foleni zinakuwa mbili sasa ya wapya wanaoingià kwa daktari na wanaorudisha majibu yaani balaa tupu
Tuache yote hayo narudi kwenye topic yangu ni kwamba TUKIONDOA VIHOMA VIDOGOVIDOGO HIVI VYA KAWAIDA NA KULAZWA- BILI YA KITANDA, UKIONDOA HIVYO VITU VIWILI BIMA YA AFYA HOSPITALINI (ZAHANATI, KITUO CHA AFYA NA HOSPITAL) HAINA MSAADA WOWOTE NI UJINGA TU
Mwenyewe nnashangaa sn mtu ana bima ya afya inamruhusu kwenda hata tmj hospital unamkuta police barracks hospital kapanga foleniMkuu kwa maelezo yako inaonekana unaenda kupata huduma Dispensary. Ukitaka huduma bora jitahidi uwe unafika kwenye Hospitali kubwa kwa mfano kwa wakazi wa Dsm unaweza kwenda kupata huduma sehemu kama Hospitali ya Kairuki. Hizo Dispensary hazina mamlaka ya kuandika dawa kubwa kwenye Bima kutokana na kuhesabika ni ngazi ya chini, ila hizo Hospital kubwa zinaruhusiwa kufanya hivyo.
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Sio uliokuwa unatutafuta mkuu, Madaktari mnazingua sana, ukienda na Bima unapimwa kipimo cha malaria kisha unaandikiwa mseto!Nyie ndio nilikuwa nawatafuta....
Hivi ni nani alowaambia hizo bima ni kwaajili ya kufanya unalolitaka?
Nafikiri zimewekwa kwaajili ya matibabu siyo kwaajili ya kingine tofauti na matibabu....
Dr. Ndiye atakayetoa ruhusa au ku initiate kipimo ila siyo wewe ndio hivyo boss....
Vumilia tu
BIMA zinafuata muongozo wa kimatibabu STG na siyo hisia na miemko yako....
Usitoe lawama, ila waambieni na waombeni waiboreshe
Bora hay uliyoyasema mkuu, vituo vingine vya afya vya ksta havina nyumba za watumishi ilawalazimu kufunga kituo na kwenda kulala mjini, havina maji wala umeme uko kilometa 2, watumishi waliko ni wawili. Vimejengwa kiasasa kabisa karibu na shamba la diwaniYaani mtu unajieleza weee halafu daktari anakwambia nenda maabara ukifika eti unapimwa malaria
Daktari ukimwambia akupime na vitu fulani fulani anakataa tena mwingine anaona kama unamfundisha kazi. Yaani mtu kuandika tu ukapimwe kitu fulani anaona kama anafanya kazi ya mkwe!
Dawa kila siku ni amoxicillin piriton alu na paracetamol ndizo zilizopo. Dawa nyingi unaambiwa ukanunue
Halafu kuna kero nyingine nayo ngoja niiweke humu...
Zamani ukienda hospital fasta tu ila saivi utasotea hapo nje ukisubiri eti wamalize usafi
Usafi ukiisha wanaanza kupanga ofisi zao unakuta karibu lisaa eti wanaandaa. Mapokezi hapo foleni yake ya kufa raia na pale huwa hawana hiyana akianza kaanza
Ukitoka mapokezi unaambiwa nenda kwa daktari huko kwa daktari ndo utalia sasa. Kwanza chumba chenye uhakika wa kuwepo daktari unakuta ni kimoja tu wakati kuna milango karibu saba na yote imeandikwa chumba cha daktari.
Basi mnafika mnajazana hapo kwenye chumba cha daktari na si ajabu hayupo mpaka anakuja kuwasikiliza ni lisaa lingine mbele. Mkitoka ngwe hiyo mnakwenda kupigishwa mark time maabara nako tena
Maabara ndo kabisa kama una moyo wa hasira hutadumu yaani. Kwanza mpaka ashike hizo document zenu ni kipengele na Jamaa kisha anachukua makaratasi yenu yote anaita mmoja mmoja anawatoboa vidole na kuwapa vichupa (malaria na mkojo ndo vipimo maarufu utakavyopimwa ukifika maabara)
Ngoma majibu sasa badala atoe kwa kadiri anavyowapima eti anasubiri karibu awamalize wote ndipo utasikia akiwapa majibu mrudishe kwa daktari
Maana yake mwendapanga foleni upya kwa daktari tena. Mkitoka hapo mnaenda kupigishwa foleni kwenye dawa napo
Siku moja nimeenda Ruangwa Hospital aisee asubuhi sana nikakaa pale nje usafi wakaja kumaliza saa saa 2:30 okay tumejipanga kwenye mabenchi wakaanza kuweka vitu hapo kama haikuchukua saa na nusu sijui tukavumilia
Wameanza huduma tena wagonjwa kwenda kwenye milango ya madaktari hakuna dokta hata mmoja nakumbuka alikuja daktari mmoja kwenye kama saa nne hivi ndo akaanza kuhudumia.
Kwenda maabara nakumbuka tukamkuta mdada wa usafi anafanya usafi tulikaa pale nje kama wehu mara jamaa anavuka mara anarudi baadae ndo akaja kuchukua makaratasi hayo akapima watu weee wakaisha waliokwepo pale
Basi tulikaa pale aisee mpaka unawaonea huruma wale wagonjwa waliozidiwa. Jamaa kaja kuwapa majibu sijui saa saba halafu ndo foleni kwa daktari tena halafu foleni zinakuwa mbili sasa ya wapya wanaoingià kwa daktari na wanaorudisha majibu yaani balaa tupu
Tuache yote hayo narudi kwenye topic yangu ni kwamba TUKIONDOA VIHOMA VIDOGOVIDOGO HIVI VYA KAWAIDA NA KULAZWA- BILI YA KITANDA, UKIONDOA HIVYO VITU VIWILI BIMA YA AFYA HOSPITALINI (ZAHANATI, KITUO CHA AFYA NA HOSPITAL) HAINA MSAADA WOWOTE NI UJINGA TU
Yaani mtu unajieleza weee halafu daktari anakwambia nenda maabara ukifika eti unapimwa malaria

AiseeHuduma ya Hospital ya Ruangwa uliyoenda zikiwa sawa kwa ubora na Hospital ya Aghakhan iliyopo pemben ya Ikulu Dar es salaam basi ujue thamani ya fedha imeisha
Tafuta pesa uepukane na hizo adha
kesho utalalamika mwanao kachaniwa suruali na Mwalimu wa nidhamu wa Kasimu Majaliwa secondary school kisa kashona 'modo' wakati wenzie Feza Mtoto anaingia na Modo shule na Afro Afro kichwani lakin Fresh tu
Kesho kutwa utalalamika Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa kakuweka 'lockup ' kisa hujachangia mchango wa Ulinzi shirikishi wakati tofauti ya maneno Mchango na tozo moja ni hiyari na nyingine lazima
lakin wenzio wa Masaki Hakuna mchango wa ulinzi shirikishi na defender za Polisi zinapiga patrol daily japo wote mnachangia kwa mwezi buku ya kodi ya Majengo kwny Luku
Mchawi pesa tu kama vipi apatikane Mganga wa kuipa Limbwata
Narudia BIMA zinafuata muongozo wa kimatibabu STG....Sio uliokuwa unatutafuta mkuu, Madaktari mnazingua sana, ukienda na Bima unapimwa kipimo cha malaria kisha unaandikiwa mseto!
Nusu nife, eti nina malaria, kumbe mchafuko wa damu na sumu! Nilirejea hospitali hapo kwa mara nyingine na huyo huyo dokta aliyethibitisha malaria ndo aliyenipima akakuta nina mchafuko wa damu na sumu kwenye mishipa baada ya kwenda na 50k mkononi!
Hospitali pekee inayohudumia wagonjwa wenye BIMA ni Hospitali ya Taifa ya Muhimbili! tena NHIF pekee!
Suluhisho ni katiba mpya!
Si bure, hapa kuna CCM oye!Narudia BIMA zinafuata muongozo wa kimatibabu STG....
Unakutana na Mteja anakuambia nimekuja kwenye matibabu lakini features alizonazo ni za allergic rhinitis (Mafua) mfano lakini anakupangia vipimo....
Badala asikilize ungependa umfanyie nini au ufanye nini.... Yeye anataka apime choo, mkojo, ESR, Full blood Picture, B/S na MRDT
Hivi vituo hamta vifunga nyie?
Nafikiri kuna haja hasa wenye makampuni ya BIMA kutoa ELIMU kwa wanufaika na kuwaelewesha kuwa anaye initiate kipimo ni Dr. siyo mteja....
La mwisho, Taasisi husika (BIMA) isitizame kupata faida ila inatakiwa kutoa huduma.... Nilishangaa kipindi cha mwendazake eti BIMA inatoa gawio la faida kwa sirikali [emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]
Hili ni tatizo
Msitulaumu jamani, tunafuata miongozo ya kimatibabu
Pole Boss... Wasalimie Mashati sokoni... Usisahau kununua mbuzi mamsera sokoniBima Inayoongoza kwa upuuz na ujinga Ni NSSF daa tabuu tupu.Tutafte pesa tu ndg zangu
Kama nchi tulifikia pabaya sanaa....Si bure, hapa kuna CCM oye!
[emoji23][emoji23][emoji23]