Slim Mchuma
Member
- Aug 19, 2016
- 83
- 51
Habari za mda wanajamii forums
Serikali yetu tukufu ikiamua kuwa bima bure inawezekana, hoja yangu itajikita kwenye namna kuu mbili ya kulifanikisha hili serikali inakusanya kodi ya ongezeko la thamani yaani (VAT) katika kiwango cha asilimia kumi na nane (18%) ambapo hapo inaweza ikawa asilimia kumi na sita (16%) ikaenda serikalini kama mapato na asilimia mbili (2%) ikaenda kuhudumia mfuko wa bima kwa kila mtanzania, ambapo kwa statistics mpaka quarter ya mwisho inayoishia mwaka 2021 - 2022 TRA wanaonyesha wamekusanya kiasi cha wastani wa billion 700 kama ongezeko la thamani kutoka kwa walipa wakodi wakubwa na wadogo, hili linawezekana.
Kupitia makato ya tozo ya miamala ya simu na benki, mijadala ilikua ni mikubwa kupitia tozo hizi, sasa ni wakati wa serikali yetu pia tukufu kuweza kutenga angalau ya asilimia tatu (3%) ya mapato yatokanayo na tozo ili iweze kusaidia mfuko wa afya na huduma ya bima kwa kila mtanzania.
Nawasilisha