wadau kuna mshikaji mmoja anaitwa Billy Sepenga huwa anakuwa na Sam Misago kwa dakika kadhaa kwenye kipindi cha FNL eatv kila ijumaa usiku. je huyu jamaa ni nani? nimeanza kumfahamu siku hizi.
jaman am sorry huyu mtoto kananichefuaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa ongea yake anaruka ruka hatulii km maharage jikon arghhhhhhhhhh afu kanaifanya kajanjaa kanavaa manguo ynye label arghhhhhhhhhh analambaje lips sasa chefuuuuu
Mwanaume wa dar, hana kazi ila analewa jumatatu mpaka jumatatu, anatoka nyumbani na buku ila anarudi kalewa na hela ya supu juu... kwa kifupi anaitwa mdananda, akikuta watu sehrmu ya starehe ndo wamleweshe.
jaman am sorry huyu mtoto kananichefuaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa ongea yake anaruka ruka hatulii km maharage jikon arghhhhhhhhhh afu kanaifanya kajanjaa kanavaa manguo ynye label arghhhhhhhhhh analambaje lips sasa chefuuuuu
hahaha yaan imefika akianza kuongea kila mtu ananiita !hv huwa unamftilia anavyoongea yaan kazidisha ubarazamen had anaboa kanaruka ruka km kanakimbia mchak mchaka hapana jaman !afu label za nguo zinaonekana live eish