mgunga pori
JF-Expert Member
- Jul 23, 2016
- 4,093
- 4,912
Colour of love
Moja ya nyimbo bora kabisa
Moja ya nyimbo bora kabisa
Aisee hivi umejuaje kua Namkubali sana Bill Ocean Kama navyojikubali Mimi?View attachment 2494934
Wahenga mtakua mnakumbuka nyimbo zake zilivyokua zinachangamsha get together parties.