Hizi picha nyengine si bora kuziona
wako huko huko,hao simba woote unawaona hapo kabila yao wamasai wa loliondo.huko ndo wanaishiaWale twiga wetu hawako huku kweli, au bado wanakuwa tamed.
watu wengine hawajui hela wafanyie nini hawana tabu ya hela wana tabu ya matumizi
wako huko huko,hao simba woote unawaona hapo kabila yao wamasai wa loliondo.huko ndo wanaishia
hivi mmarekani amechemsha kabisa kuwaharibia hawa jamaa?nna hamu kuwaona wakimbizi siku moja wajue upande mwingine wa shilingi wa maisha na fujo zao hizi.
wako huko huko,hao simba woote unawaona hapo kabila yao wamasai wa loliondo.huko ndo wanaishia