Sanaa!!!Duh....!!!! Kazi kweli
majizi na mafisadi tu haya yote yakiasisiwa na babalao la mafisadiAnaundugu na lema mbunge au
NINGESHANGA UIPONGEZE SERIKALI WEWE SO MTETEZI WA MAFSAD MTAISONA NAMBAserikali inabidi hikusanye pesa kwa nguvu.
swissme
Huyo ndo alikuwa meya wa Arusha mhula uliopita au mwingine?Samweli Lema
View attachment 370927
hikusanye=ikusanyeserikali inabidi hikusanye pesa kwa nguvu.
swissme
Enzi za naniiii hawa walikua miungu watu... Huyu si wakutembelea vogue mkuu, hiyo ni gari ya hadhi ya chini sana kwakeNorthern air,northern engineering dah!! Acha waisome tu hamna jinsi,wanazunguka navogue kumbe wanaforge mpk refund za TRA!sipati picture km rais angekua mtu km naniiii........km angeweza kufumua madudu km haya!JPM abarikiwe sana