Alex Protase
Member
- May 27, 2016
- 38
- 10
Imekuwa ni kawaidia kwa Mamlaka ya Maji Manispaa ya Iringa kutuma bill za maji kwa wateja wake kupitia ujumbe wa simu, bill hazionyeshi ni kiasi gani cha maji mteja ametumia kwa mwezi husika unatumiwa kiasi unachotakiwa kulipa basi. Hazionyeshi usomaji uliopita, kutoa usomaji wa sasa, unit zilizotumika, kiasi kwa unit moja n.k Je hii inastahili kuitwa bill? Waziri mhusika bila shaka unapita humu naomba ufafanuzi.