Bill Graham " vote republican homosexual is a sin"anapanda jukwaani kesho

Natalia

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2011
Posts
4,324
Reaction score
1,901
Wachungaji wanaanza kusema hurricane sandy ni sababu ya ma gay.na ukiangalia state zilizoadhirika ni Za democratic tu. vote biblical or msaafu unavyosema
 
Katrina destroyed TX, Arkansas and Louisiana, the red states. Think before kuweka ujinga hapa. Billy Graham ain't GOD or Jesus. He can say whatever he wanna say

huyu tushamzoea mabwana zake ni republicans ndio maana anashabikia wazungu wakati yeye ni mtoto wa uswazi full
 
But voting for Democrats who supports abortion is also a sin. If it is true, Graham is in dilemma.
 
Wachungaji wanaanza kusema hurricane sandy ni sababu ya ma gay.na ukiangalia state zilizoadhirika ni Za democratic tu. vote biblical or msaafu unavyosema

tumekuchoka na stori zako unazotizama bbc ukiwa kwenu mwanakwereke zanzibar na kuziweka hapa ndani
 
huyu tushamzoea mabwana zake ni republicans ndio maana anashabikia wazungu wakati yeye ni mtoto wa uswazi full
Mkuu ukiweka swala la rangi pembeni, chama cha uyo unayemuita mzungu kina sera zinazotetea maslahi ya watu maskini hasa weusi kuliko sera za yule jamaa mweusi mtetezi wa ushoga anayetetea maslahi ya matajiri zaidi.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Mkuu ukiweka swala la rangi pembeni, chama cha uyo unayemuita mzungu kina sera zinazotetea maslahi ya watu maskini hasa wamarekani weusi kuliko sera za yule jamaa mweusi mtetezi wa ushoga anayetetea maslahi ya matajiri zaidi.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Wachungaji wanaanza kusema hurricane sandy ni sababu ya ma gay.na ukiangalia state zilizoadhirika ni Za democratic tu. vote biblical or msaafu unavyosema

Just made a fool
of yourself
 
Wachungaji wanaanza kusema hurricane sandy ni sababu ya ma gay.na ukiangalia state zilizoadhirika ni Za democratic tu. vote biblical or msaafu unavyosema

na wasiwasi hata huko U.S uliendaje?maana IQ yako inaonekana ndogo sana, full kilaza
 
Back
Top Bottom