Kitang'wa1
JF-Expert Member
- Dec 4, 2014
- 460
- 285
Naunga mkono sheria mpya ya mitandao kuwadhibiti mazuzu na waongo kama huyu mleta mada.
Kweli kabisa nchi zilizoendelea wanatumia hii, ila nchi nyingi maji haya yanatumiwa bafuni na chooni majumbani.Hii teknolojia si mpya mbona. Nchi zote zilizoendelea wanatumia mfumo huu wa maji safi. Wanaita recycled water. Hata hapa Africa kuna baadhi ya nchi wanatumia mfumo huu kwa miaka sasa.