Bill Gates amuonya Trump kuhusu Afrika

Bill Gates amuonya Trump kuhusu Afrika

Bill Gates ni mpuuzi, Trump yuko sawa na Afrika inabidi tujipange kujisaidia wenyewe, kwangu D.Trump kaletwa na Mungu ili kutuambia ukweli, watu kama Bill Gates ndo maracists wakubwa kwani wanaamini sisi siyo binadamu kamili na tunahitaji kusaidiwa!

Fvck Bill Gates!
Kuna muda huwa upo vizuru kwa hoja.Bravo!
 
Hahaha makamu wa papa Francis hajamuwakilisha papa huko Davos, maana papa anajua kilatin pekee.
Haha nyie jamaa mna mi akili mingi saana aisee...maana na RAM yangu ya 549Mb nilichwelewa kidogo kuelewa..mkawa mmeniacha kwene tuta!
 
real G Bill Gates ni mpuuzi, Trump yuko sawa na Afrika inabidi tujipange kujisaidia wenyewe, kwangu D.Trump kaletwa na Mungu ili kutuambia ukweli, watu kama Bill Gates ndo maracists wakubwa kwani wanaamini sisi siyo binadamu kamili na tunahitaji kusaidiwa!
SHIDA WAFADHILI WATAPUNGUZA MGAO ULE MFUKO WAKE LAZIMA AUTETE
 
Niambie maana ya tasaf na shuhuri zake,mkuu unakwamia wapi
real G Bill Gates ni mpuuzi, Trump yuko sawa na Afrika inabidi tujipange kujisaidia wenyewe, kwangu D.Trump kaletwa na Mungu ili kutuambia ukweli, watu kama Bill Gates ndo maracists wakubwa kwani wanaamini sisi siyo binadamu kamili na tunahitaji kusaidiwa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nibkweli matajfa ya Africa machafu kwani uwongo, tena yuko sahihi kabisa kuita shithole countries.
 
Wengi wetu hapa tunalialia tu, ooh trump yupo sahihi, ooh Bill yupo sahihi na mnakataa msipewe msaada, but hao hao wakoloni ambao ndiyo chanzo cha hapa mlipo na bado wameendelea kututawala na bado watatutawala hata kisaikorojia...
 
real G Bill Gates ni mpuuzi, Trump yuko sawa na Afrika inabidi tujipange kujisaidia wenyewe, kwangu D.Trump kaletwa na Mungu ili kutuambia ukweli, watu kama Bill Gates ndo maracists wakubwa kwani wanaamini sisi siyo binadamu kamili na tunahitaji kusaidiwa!

Kwa maelezo yako tu, wewe ni binadamu kamili kweli???? umeyaona maisha ya wa afrika wenzako na umeona mienendo ya viongozi wako walio madarakani??? Kusaidiwa hata akili na matibabu bado tunahitaji sana, nyie ukimwi mlienda loliondo kunywa kikombe, maendeleo mmeenda kukanyagana kukanyaga mafuta na bado huoni kama mnahitaji msaada.?
 
Back
Top Bottom