Waambie nduguzo na rafiki zako wasichukue dawa za uzazi wa mpango na ARV maana mfadhili ni Bill.
William Henry Gates III
Hizo ARV ndio chanzo cha ngoma kuenea kila sehemu sizingekuepo ukimwi ungeishaWaambie nduguzo na rafiki zako wasichukue dawa za uzazi wa mpango na ARV maana mfadhili ni Bill.
Bill Ake
Giant kinyamaDingi bonge la jitu
We msabato acha uchawi utaikosa pepo kwa kuwawazia mabaya wenzako,wewe unadhani Bill Gates uwepo au usiwepo unampunguzia nini wewe?
Nashangaa Mtanzania hata kutengeneza tooth pick huwezi upo unalia lia hapa kwamba mzungu anakuchukia akuchukuie au akuogope wewe una lipi la kumtisha?
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha bangi wwAgent mkubwa wa Shetani huyo hatuwazii mema hata kidogo
Msamehe bure, ANA STRESS[emoji23]We msabato acha uchawi utaikosa pepo kwa kuwawazia mabaya wenzako,wewe unadhani Bill Gates uwepo au usiwepo unampunguzia nini wewe?
Nashangaa Mtanzania hata kutengeneza tooth pick huwezi upo unalia lia hapa kwamba mzungu anakuchukia akuchukuie au akuogope wewe una lipi la kumtisha?
Sent using Jamii Forums mobile app
Jina la Bill lilitoka wapi?William Henry Gates III
Na itakusaidia kujua kipato chake na Imani yake.Kwa picha hyo ndiyo utajua mindset ya mtu,
Anawajukuliache watu waliofanikiwa
Lazima mwanamke awe Petit maana so unajua kwa bed lazima mwanamke awe bize Sana.(sorry madam)Ninadhani mama ni petit
Hamna mkuu, wamarekani wanafupisha William kuwa Bill,
Bill Ake