Wana JF,
Hiii ni mara nyingine waziri mkuu nae anatudanganya hii haitaji kuthibitisha bali ni kwa usikivu na uelewa wako B.95 kwa kuboresha hii sector ya uchukuzi kweli its doesn't make sense at all ndugu zangu juzi leo umekuja na mpya khaaa wapi na wapi hiyo. Umekopa pesa then what, Siku zote kama mlijua kwanini hamkufanya hivyo haya mashirika ya umma si yangekuwepo mpaka sasa.
My Take:
Badget nyingi bungeni ni za mashaka kabisa wanatudanganya hawa mawaziri na serikali kweli hatuna watu vichwa wakakaaa na kuimbia wizara fulani hapo ni hivi na vile wasomi wako wapi au Gutter Politics inatawala nyanja zote za serikali .
I dont've Confidence with my Prime Minister From now onwards. Hivi Serikali mumetuonaje sisi ni madodoki tuu au kweli kweli waziri kwenye Bunge through live TV uanaongea pumba na wabunge wengine wanashadadia wanaona ni sawa 2015 hamtorudi mjengoni