Bilioni moja ni chicken feed kwa MO lakini...

sipati picha bus za kutoka mara to dar zinavyojaza wakurya wanaokuja town kuchangamkia fursa maana wazee wa kukamuliwa na wapemba hiyo kazi hawataiweza.
Hata Mimi nipo njiani muraa....
 
Kakodi kao tiaraei katakatwa kiasi gani kwenye 1B mkuu?
 
Kwa maisha ya kitanzania hiyo ni pesa nyingi sana, kwa watekaji kama ni kweli katekwa ni chenji na dharau kubwa,pangapangua sirikali inaSun la sivyo bilioni ingeshaanza kuongea.
 
Kweli lakini kwa utajiri wa Mo wote hilo dau ni ndogo sana. Japo hizo misifuri inastua kidogo[emoji16][emoji16]
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]kwa jinsi nionavyo hili swala la kumtafuta MO litoke kuwa physically hadi Spiritually.
 
Dah Mshana Jr be careful, unaposema ndogo unamaanisha nini? Je wewe ni mtekaji unaleta ujumbe kuwa kwa hilo dau huwezi kumuachia? Au unamaanisha nini? Tunakuhitaji hapa jukwaani, usije ukatekwa na wewe na watekaji wakakutesa ili utaje wakachukue hilo dili, tena polisi wetu wa kibongo walivyo wanaweza kukuweka mateka ili ukitaja tu wao wanaibuka
 
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna mtu aliwahi kusema USD 1,000,000/= ni pesa ya mboga na hakutekwa... BTW nimeichukulia tahadhari yako kwa uzito unaostahili[emoji120][emoji120][emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…