Daah kweli ukipenda chongo huita kengezaKulipana posho si vibaya ni halali kwa mfanyakazi kupata posho anapotimiza majukumu yake
Tutaandika nini ili Mama amtoe hapo huyo mwanaye Mwezi wa kwanza?
Inakera sana na inakatisha tamaa sana Kwa walipa kodi, kulipa kodi ili viongozi wakagawane?
Hili la posho ni kila wizara, mashirika na idara za serikali. Zile semina magumashi za kwenye mahotel ya bei mbaya na posho za kila aina zimerudi kwa kasi ya ajabu. Nadhani ni moja ya strategic ya rais Samia kujaribu kurudi watu kwenye enzi za Kikwete ili wamsifu, asijue kuwa Kikwete ndiye chanzo cha maangazi ya CCM.Huku Maharage anadai hana fedha za kuhimili mita za 27000 shs
Kwani Hawa viazi mbatata wa Kibwengo magufuli wanajua Hilo.Ni kipindi gani hicho? Usikute anazungumzia kipindi cha Mwendazake... Ripoti ya CAG
Daaaa hata kama halali ndo 61b posho????????Kulipana posho si vibaya ni halali kwa mfanyakazi kupata posho anapotimiza majukumu yake
Mnufaika huyo wala usiumize kichwa kufikiri kwanini ameandika hivyo.Daah kweli ukipenda chongo huita kengeza