Abdulhalim, haisaidii kuponda kila kinachosemwa.
Sawa, hatukutegema tofauti na kinachoendelea, lakini ndio tukae kimya? Sote tunajua impact ya majadiliano ya humu JF. Wahusika huwa wana pita pita humu, kama sio tunajadiliana nao humu bila kujua.
Hivyo, kufufua ishu kama hii ni muhimu katika kusukuma ufuatiliaji