Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 21,791
- 34,792
Waweze kuzirafuta washindwe kuzipangia matumizi? Sukuma Gang ndiyo mumepagawishwa na hizo hela mnaumia sana, na hasa mkisikia kuwa wenzenu wamehomola mabilioni ya plea bargain na nyie mko mnapiga miayo tu ndiyo mnapagawa hasa.Bilion 3 zimeipa kiwewe chadema, huko ndani hakukaliki. Watu wanapishana tu koridoni, kila mtu kageuka chawa wa mwenyekiti. Kila mtu anataka kulamba kidogo...
Safari hii inapaswa tuwapangie Cha kufanyaHapo wajenge ofisi tuu, ila siwapangii ni mtazamo wangu tuu.
Mimi ni mjumbe tu,hilo gazeti ni la huko kwenuWaweze kuzirafuta washindwe kuzipangia matumizi? Sukuma Gang ndiyo mumepagawishwa na hizo hela mnaumia sana, na hasa mkisikia kuwa wenzenu wamehomola mabilioni ya plea bargain na nyie mko mnapiga miayo tu ndiyo mnapagawa hasa. Mliokuwa manawatetea kuwa ni waadulifu ndiyo hao wamekwapua mabilioni wameyaficha China na Ushelisheli na Msoga Gang nao wanajimegea kivyao nyie mumebakia kubweka bweka kama mbwa koko.
Chadema hawahitaji ushauri kutoka kwako. Ulikuwa wapi wakati wanapitia magumu?Bilion 3 zimeipa kiwewe chadema, huko ndani hakukaliki. Watu wanapishana tu koridoni, kila mtu kageuka chawa wa mwenyekiti. Kila mtu anataka kulamba kidogo...
Hilo ni gazeti dada la Tanzania daima. Waandishi wa hilo gazeti ndio waandishi wa Tanzania daima. Sasa hivi hamuaminiani?Hicho kipeperushi cha Lumumba mtatumia chooni mkienda kutaga kwasababu hakuna atakayenunua gazeti la namna hiyo hata ikiwa bure.
Magumu gani? Ya kutojenga ofisi au? Alafu Hilo gazeti sijaandika Mimi ni la huko kwenuChadema hawahitaji ushauri kutoka kwako. Ulikuwa wapi wakati wanapitia magumu?
Soma tena ulichoandikaUjinga ni mzigo. Gazeti limeandika maoteo wewe umeleta kama ni habari halisi!!
Sijui ni kwa nini zitto alisema nchi inaongozwa na mazwazwa!!
Kama hujaelewa hilo siyo tatizo langu, ni tatizo lako!!Soma tena ulichoandika
Lengo la kucomment hapa si ili nielewe au? Tuachane na hayo, kwenye hizo bil 3 wewe umekula ngapi? Au kwangu pakavuKama hujaelewa hilo siyo tatizo langu, ni tatizo lako!!
Kajenge hiyo office mbele ya nyumba yako ufurahi. Wewe ni nani kuwapangia cha kufanya.Magumu gani? Ya kutojenga ofisi au? Alafu Hilo gazeti sijaandika Mimi ni la huko kwenu
Sukuma Gang mna makasiriko mengi sana, mungu wenu kafa, mlililotaka kufanya likashindikana, Mama anaupiga mwingi, mafao ya plea bargain hamjapata, Msoga Gang wanatesa, Chadema mliyotaka ife ndiyo hiyo inashamiri na masalia yenu ndiyo yanapukutiswa mdogo mdogo, hapo lazima mpagawe kwa siku mnaanzisha nyuzi elfu kidogo kuitaja Chadema. Poleni kutesa kwa zamu.Mimi ni mjumbe tu,hilo gazeti ni la huko kwenu
Hizo hasira zielekeze chamani, Sasa Kuna hizo bil 3 huenda Kuna kitu cha maana watafanya. Mkizubaa tu tena basi mmeliwaKajenge hiyo office mbele ya nyumba yako ufurahi. Wewe ni nani kuwapangia cha kufanya.
Mambo ya kula hela za umma ni tabia ya CCM. Kwanza siyo kweli kwamba hizo bilioni 3 tayari CHADEMA wamepewa. Na ndiyo maana habari yako haina mashiko.Lengo la kucomment hapa si ili nielewe au? Tuachane na hayo, kwenye hizo bil 3 wewe umekula ngapi? Au kwangu pakavu
Hilo gazeti ni la huko kwenu, waandishi ni walewale wa Tanzania daima. Au hamuaminiani sasa hivi?Sukuma Gang mna makasiriko mengi sana, mungu wenu kafa, mlililotaka kufanya likashindikana, Mama anaupiga mwingi, mafao ya plea bargain hamjapata, Msoga Gang wanatesa, Chadema mliyotaka ife ndiyo hiyo inashamiri na masalia yenu ndiyo yanapukutiswa mdogo mdogo, hapo lazima mpagawe kwa siku mnaanzisha nyuzi elfu kidogo kuitaja Chadema. Poleni kutesa kwa zamu.
Umesoma ukaelewa? Bil 3 tayari, ndio hapo chadema wamepagawa hawajui wafanye lipi waache lipiMambo ya kula hela za umma ni tabia ya CCM. Kwanza siyo kweli kwamba hizo bilioni 3 tayari CHADEMA wamepewa. Na ndiyo maana habari yako haina mashiko.