Hivi ni nini shida kuvuta maji kutoka Ziwa Victoria Mara kupitia Manyara hadi Arusha?
Kama yanapelekwa Dodoma inashindikana nini kupelekwa Kaskazini? , sina uhakika kama maji ya Ziwa Manyara na Babati,Natron ujazo wake yanatosha kusambazwa kwa matumizi makubwa zaidi ya watu wanaozunguka maeneo hayo.
Serikali haijawahi kuwaza katika hili au ni jambo la kitaalamu?
Nahoji tu.