Benson Mramba
JF-Expert Member
- Oct 29, 2013
- 766
- 1,884
Kwa mujibu wa sheria za gharama za uchaguzi Mgombea Urais anapaswa kutumia kiasi kisichozidi bilioni 25 katika kampeni zake.
Bilioni 100 ni mara nne ya kiasi elekezi. Isitoshe wagombea wengi wa CCM ni wagombea wanaotetea nafasi zao hivyo wengi wanajimudu kikampeni so kwa kiasi kikubwa gharama za harambee zitaelekezwa kwenye kampeni za mgombea Urais. Ni gharama kubwa sana.
Hofu ya utakatishaji fedha iliyopo nayo sio ya kupuuzwa maana pia kuna noti zimechapwa mpya. Miaka ya nyuma kulishawahi kuwa skendo ya kuchapwa kwa noti za ziada ila ilisha Isha hivyo hivyo.
Bil 100 sio mchezo. Zahanati wakati fulani zilijengwa kwa mil 500. Shule kongwe zilikarabatiwa kwa mil 500. Ofisi za wizara pale Dom zilijengwa kwa mil 500 so unaweza kujenga miondombinu ya kijamii 20+ kwa fedha hiyo.
Hatari sana.